Majaribio mtihani
|
|
Título del Test:
![]() Majaribio mtihani Descripción: Darasa la saba |



| Comentarios |
|---|
NO HAY REGISTROS |
|
Ni lipi lisilo vazi la kike?. Buibui. Bombo. Kaniki. Masombo. Kanusha: kusoma. Kuandika. Usisome. Kusomesha. Kutosoma. "... Nilikuwa chai nzito kwa vipande vya viazi. Eleza matumizi ya kwa. Sababu. Sehemu ya. Pamoja na. Matumiza. Methali ipi inaafikiana na "Mvumilivu hula mbivu". Baniani mbaya kiatu chake dawa. Mchumia juani hulia kivulini. Mchagua jembe si mkulima. Akili ni nywele kila mtu ana zake. Kuwa na mkono wa birika inamaanisha nini?. Kujipinda mkono. Kuwa mwizi. Kuwa mchoyo. Kuwa mkarimu. Badilisha sentensi hii kwa wakati uliopita 'nitamsalimu nitakapomwona'. Nitamsalimu nilipomwona. Singemsalimu nilipomwona. Nilimsalimu nilipomwona. Sitomsalimu nikimwona. Jumla ya miaka mia moja huitwa nini?. Mwongo mmoja. Wiki moja. Karne moja. Alfeni. Nyumba imeharibika na mvua. Ipo kwenye kauli gani. Kutenda. Kutendwa. Kutendea. Kutendeka. Neno Kimasai ni aina gani katika sentensi 'anapenda kuvaa kimasai'. Nomino. Kielezi. Kihisishi. Kivumishi. Kamilisha methali "------hufa maskini". Mwenda mbalimbali. Mtegemea cha nduguye. Asiyejua maana. Mtaka cha bure. |




